WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, October 19, 2016

KAMATI YA BUNGE YATAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU IPEWE FEDHA

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Winfrida Tutaindurwa akiwasilisha Taarifa ya Muundo na utekelezaji wa majukumu ya Tume katika kipindi cha Julai hadi Oktoba 2016 mbele ya Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mjini Dodoma leo, kushoto ni Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Seleman Jafo.

Mjumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Mwita Waitara akichangia hoja katika kikao cha Kamati hiyo leo Mjini Dodoma.

Mjumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Saada Salum Mkuya akichangia hoja katika kikao cha Kamati hiyo leo Mjini Dodoma.Kamati hiyo leo ilikuwa inapokea na kujadili maelezo ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kuhusu muundo, majukumu na utendaji wa Tume ya Utumishi wa Walimu


No comments:

Post a Comment