Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Obindi Wembe akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma. |
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Mheshimiwa Abdalla Chikota akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo Leo Mjini Dodoma |
No comments:
Post a Comment