KAMATI YA LAAC YAKATAA TAARIFA YA HESABU YA HALMSHAURI YA JIJI LA MBEYA
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC), Mheshimiwa Abdalla Chikota akisisitiza jambo katika Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma. Katika kikao hicho wajumbe wa Kamati ya LAAC waliiagiza Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwenda kuiandaa upya taairfa yao hesabu kutokana na kubaini kuwapo kwa mapungufu.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) wakiendelea na kikao chao leo Mjini Dodoma
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa wakijadili masuala mbalimbali katika kikao cha Kamati kilichofanyika leo Mjini Dodoma. Kamati hiyo ilikuwa inafanya mahojiano na Halmashauri ya Jiji la Mbeya na Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kuhusu hesabu za mwaka wa fedha 2014/2015
No comments:
Post a Comment