Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador Antonio Valdes Mesa walipokutana kwa ajili ya mazungumzo Jijini Dar es Salaam. |
Mazungumzo yakiendelea kati ya Ujumbe uliogozwa na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kulia)
pamoja na ujumbe uliongozwa na Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador
Antonio Valdes Mesa (kushoto).
|
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador
Antonio Valdes Mesa mara baada ya mazungumzo.
|
Makamu wa Rais wa Cuba Mhe Salvador Antonio Valdes Mesa akimueleza
jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati akimkabidhi zawadi mara baada ya
kuzungumza naye Jijini Dar es Salaam.
|
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimkabidhi zawadi Makamu wa Rais wa Cuba Mhe Salvador Antonio Valdes Mesa mara baada ya kuzungumza naye Jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment