Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Rwanda
nchini Eugene Kayihura alipokutana nae Ofisini kwake Mjini Dodoma mapema leo.
|
Balozi wa Rwanda nchini Eugene Kayihura akizungumza na
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
|
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na
Balozi wa Rwanda nchini Eugene Kayihura mara baaada ya kuzungumza nae Ofisini
kwake Mjini Dodoma.
|
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiagana na Balozi wa Rwanda nchini Eugene Kayihura mara baaada ya kuzungumza nae Ofisini kwake Mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment