Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Balozi wa
China hapa Nchini Dkt LU Youqing aliyetembelea Ofisini kwake leo tarehe 03 Nov,
2016 Mjini Dodoma.
|
Balozi wa China nchini Dkt LU Youqing akimueleza jambo Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia
ni Mkalimani wa Balozi huyo Bi. WANG Fang.
|
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai katika picha ya pamoja na
Balozi wa China hapa Nchini Dkt LU Youqing aliyetembelea Ofisini kwake leo
tarehe 03 Nov, 2016 Mjini Dodoma.
|
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiagana
na Balozi wa China hapa Nchini Dkt LU Youqing mara baada ya kuzungumza naye
Ofisini kwake Mjini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment