Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke wakati akizungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
|
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akimueleza jambo Balozi wa Uingereza
nchini Sarah Cooke aliyemtembelea mapema leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
|
Naibu Spika wa Bunge Dkt.
Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke
aliyemtembelea mapema leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
|
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia
Ackson akizungumza Balozi wa Uingereza
nchini Sarah Cooke wakati akizungumza
naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment