Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe
Job Ndugai akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma mapema leo.
|
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakati alipozungumza naye Ofisini
kwake Mjini Dodoma.
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job
Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
|
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiagana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma
|
No comments:
Post a Comment