WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Sunday, November 6, 2016

VIONGOZI WA APNAC WAPEWA MAFUNZO

Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanaopambana na Rushwa (APNAC) Mhe George Mkuchika akizungumza wakati wa Semina ya Viongozi wa Chama hicho iliyotolewa na TAKUKURU Mjini Dodoma. Katikati ni Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson na Wa kwanza kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Angela Kairuki.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Angela Kairuki akizungumza na Viongozi wa Chama cha Wabunge Wanaopambana na Rushwa (APNAC) wakati wa Semina Mjini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akizungumza wakati wa kufungua Semina ya Viongozi wa Chama cha Wabunge Wanaopambana na Rushwa (APNAC) iliyotolewa na TAKUKURU Mjini Dodoma. Wa kwanza kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Angela Kairuki.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishina Valentino Mlowola akitoa Semina hiyo

Viongozi wa Chama cha Wabunge Wanaopambana na Rushwa (APNAC) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Semina iliyotolewa na TAKUKURU. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Angela Kairuki na Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishina Valentino Mlowola.

No comments:

Post a Comment