WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII WAANZA ZIARA MKOANI MOROGORO
Wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii walipotembelea Ofisi
za Wakala wa Mbegu Nchini (TTSA) leo Mjini Morogoro
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maliasili na Utalii, Mhe. Atashista Nditiye akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbaolojia wa Mbegu, kutoka Wakala wa Mbegu za Miti Nchini (TTSA), Ndugu Fandey Mashimba ya jinsi ya uoteshaji wa mbegu za miti
Mbaolojia wa Mbegu, kutoka Wakala wa Mbegu za Miti Nchini (TTSA), Ndugu Fandey Mashimba akiwalezea wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii namna ambavyo Wakala huo unavyozalisha mbegu za miti
No comments:
Post a Comment