KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA TAASISI YA UTAFITI WA MISITU
Wajumbe wa
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiangalia wadudu wanaoshambulia misitu
wakati walipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Misitu (TAFORI) iliyoko Mkoa wa
Morogoro.
Waziri wa
Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Magembe akitoa maelezo kwa Wajumbe wa
Kamati Ardhi, Maliasili na Utalii kuhusiana na kifaa maalumu ambacho kinawezesha
kutambua kama kuna moto kwenye msitu. Wajumbe hao jana walitembelea Taasisi ya
Utafiti wa Misitu (TAFORI) iliyoko Mkoa wa Morogoro.
No comments:
Post a Comment