SPIKA WA BUNGE MHE. JOB NDUGAI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai nakala ya ripoti ya mahakama
kuhusu kesi za uchaguzi kutoka kwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa
Ibrahim Hamisi Juma (kulia) wakati kuadhimisha siku ya Sheria Nchini
iliyoambatana na uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya
Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge Mhe. Mhe Job Ndugai akitoa salamu kwa niaba ya Bunge baada ya
kukaribishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Joseph Magufuli wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini katika
viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es
salaam.Kushoto kwake ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu
Spika
wa Bunge Mhe. Mhe Job Ndugai akitoa salamu kwa niaba ya Bunge baada ya
kukaribishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Joseph Magufuli wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini katika
viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es
salaam. Kushoto kwake ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu
Spika
wa Bunge Mhe. Mhe Job Ndugai akiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya maadhimisho ya
Siku ya Sheria Nchini yaliyofanyika katika viwanja vya Mahakama vya
Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiwa katika Picha ya pamoja na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Kaimu
Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma, pamoja na majaji
wengine wa Mahakama wakati maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini
yaliyofanyika katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean
Road jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment