Mhe.
Alhaji Abdallah Majura Bulembo (Mbunge wa Kuteuliwa na Mhe Rais) akila Kiapo cha Uaminifu mbele ya Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai.
|
Mhe. Ali Juma Ali - ( Mbunge wa Jimbo la Dimani) akila Kiapo cha Uaminifu. |
Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mbunge wa Kuteuliwa na Mhe Rais) akila Kiapo cha Uamimifu
|
Mhe. Anne
Kilango Malecela(Mbunge wa Kuteuliwa na Mhe Rais) akila kiapo cha Uaminifu
No comments:
Post a Comment