KAMATI YA KATIBA NA SHERIA YAENDELEA NA UCHAMBUZI WA BAJETI.
Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Profesa Paramagamba Kabudi akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria baada ya Wizara yake kuwasilisha Taarifa ya
Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha
2016/17 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha
2017/18 katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria wakijadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Rashid Shangazi (katikakati) akimsikiliza Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Profesa
Paramagamba Kabudi wakati akiwasilisha Taarifa ya
Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha
2016/17 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha
2017/18 katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria wakifuatilia kwa makini
Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa
Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa
Mwaka wa Fedha 2017/18 katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment