WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, March 31, 2017

KAMATI YA PAC YAENDELEA NA VIKAO VYAKE.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Kaboyoka akisisitiza jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma, pembeni ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Aeshi Hilaly. Kamati hiyo leo imejadili Taarifa ya Ukaguzi wa Ufanisi kuhusu utekelezaji wa makakati wa udhibiti wa wadudu waharibifu  na majanga ya magonjwa ya mazao Tanzania.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakifuatilia Mjadala katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma.


Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakifuatilia Mjadala katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment