WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, April 28, 2017

KATIBU WA BUNGE AKIONGOZA KIKAO CHA MENEJIMENTI YA OFISI YA BUNGE

Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akizungumza wakati wa kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Bunge kilichofanyika leo Mjini Dodoma

 Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akizungumza wakati wa kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Bunge kilichofanyika leo Mjini Dodoma
 Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akizungumza wakati wa kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Bunge kilichofanyika leo Mjini Dodoma
Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Bunge, Ndg. Chacha Nyakega (aliesimama) akifafanua jambo wakati wa kikao hicho

SPIKA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Iran nchini Tanzania, katikati ni Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akikabidhiwa  zawadi ya Busati toka kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) katika picha ya pamoja na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma

MHE SPIKA AKUTANA NA SPIKA MSTAAFU

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Spika Mstaafu, Mhe. Anne Makinda (kulia) ugeni uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.


Tuesday, April 25, 2017

MHE SPIKA AZUNGUMZA NA UJUMBE KUTOKA BUNGE LA ZAMBIA


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waheshimiwa Wabunge kutoka Bunge la Zambia ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya Miundombinu kutoka Bunge hilo waliokuja kubadilishana uzoefu na kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu, katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia)akimkabidhi kitabu chenye Sheria Mbali mbali za Bunge Mhe. Douglas Syakalima (wa pili kushoto), ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya Miundombinu na Kiongozi wa Msafara wa kutoka Bunge hilo, Wabunge hao wamekuja kubadilishana uzoefu na kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu Mhe. Prof. Norman Sigala King.


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kaunda suti nyeusi katikati)katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Wabunge kutoka Bunge la Zambia ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya Miundombinu kutoka Bunge hilo waliokuja kubadilishana uzoefu na kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiongozwa na Mhe. Douglas Syakalima, ambae ni Mwenyekiti wa Kamati na Kiongozi wa Msafara/Ujumbe huo katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.






Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Prof. Norman Sigala King akizungumza na Waheshimiwa Wabunge kutoka Bunge la Zambia ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya Miundombinu kutoka Bunge hilo waliokuja kubadilishana uzoefu na kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu, katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.

Saturday, April 22, 2017

SPIKA WA BUNGE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU DKT ELLY MACHA




  Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.  Job Ndugai akiweka shada la maua katika kaburi marehemu Mhe. Dkt. Elly Marko Macha wakati alipongoza waombolezaji katika mazishi ya marehemu yaliyofanyika katika kijijini cha Kirua Vunjo, mkoani Kirimanjaro.


Spika wa Bunge Tanzania Mhe. Job Ndugai (katikati) akifatilia ibada ya mazishi ya Marehemu Mhe. Dkt Elly Macha alipongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya marehemu yaliyofanyika leo katika kijijini cha Kirua Vunjo, mkoani Kirimanjaro, kulia ni Naibu wa Spika Mhe. Dkt Tulia Ackson  na kushoto ni Kiongozi wa kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe.


   Wapambe wa Bunge wakilipeleka jeneza la Marehemu Dkt Elly Macha ili likahifadhiwe katika nyumba yake ya milele.


Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.  Dkt Ackson Tulia akiweka shada la maua katika kaburi marehemu Mhe. Dkt. Elly Marko Macha wakati wa mazishi ya marehemu yaliyofanyika katika kijiji cha Kirua Vunjo, mkoani Kirimanjaro.

Tuesday, April 4, 2017

RAIS MSTAAFU MHE. JAKAYA KIKWETE ALIPOFIKA BUNGENI KUMSHUHUDIA MHE SALMA KIKWETE AKILA KIAPO CHA UAMINIFU

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akisaini Kitabu cha Wageni  alipofika  Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mke wake Mhe. Salma kikwete.  Kushoto ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugaialipofika  Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mke wake Mhe. Salma kikwete.  


Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimuapisha Mhe Salma Kikwete ambaye aliteuliwa na Mhe Rais kuwa Mbunge hivi  karibuni.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akizungumza na Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah wa pili toka (kushoto)alipofika  Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mke wake Mhe. Salma kikwete. Wengine katika picha ni Katibu wa Spika Bw. Said Yakubu (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Itifaki na Uhusiano-Ofisi ya Bunge Bw. Theonest K. Ruhilabake (kushoto)
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) alipokuwa Bungeni.


Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) alipofika Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mhe. Salma kikwete. 

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) alipofika Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mhe. Salma kikwete.