WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, April 4, 2017

RAIS MSTAAFU MHE. JAKAYA KIKWETE ALIPOFIKA BUNGENI KUMSHUHUDIA MHE SALMA KIKWETE AKILA KIAPO CHA UAMINIFU

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akisaini Kitabu cha Wageni  alipofika  Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mke wake Mhe. Salma kikwete.  Kushoto ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugaialipofika  Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mke wake Mhe. Salma kikwete.  


Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimuapisha Mhe Salma Kikwete ambaye aliteuliwa na Mhe Rais kuwa Mbunge hivi  karibuni.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akizungumza na Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah wa pili toka (kushoto)alipofika  Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mke wake Mhe. Salma kikwete. Wengine katika picha ni Katibu wa Spika Bw. Said Yakubu (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Itifaki na Uhusiano-Ofisi ya Bunge Bw. Theonest K. Ruhilabake (kushoto)
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) alipokuwa Bungeni.


Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) alipofika Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mhe. Salma kikwete. 

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) alipofika Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mhe. Salma kikwete. 


No comments:

Post a Comment