SPIKA WA BUNGE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU DKT ELLY MACHA
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai akiweka shada la maua katika kaburi
marehemu Mhe. Dkt. Elly Marko Macha wakati alipongoza waombolezaji katika
mazishi ya marehemu yaliyofanyika katika kijijini cha Kirua Vunjo, mkoani
Kirimanjaro.
Spika
wa Bunge Tanzania Mhe. Job Ndugai (katikati) akifatilia ibada ya mazishi ya
Marehemu Mhe. Dkt Elly Macha alipongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya
marehemu yaliyofanyika leo katika kijijini cha Kirua Vunjo, mkoani Kirimanjaro,
kulia ni Naibu wa Spika Mhe. Dkt Tulia Ackson
na kushoto ni Kiongozi wa kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman
Mbowe.
Wapambe wa Bunge wakilipeleka
jeneza la Marehemu Dkt Elly Macha ili likahifadhiwe katika nyumba yake ya
milele.
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Dkt Ackson Tulia akiweka shada la maua katika kaburi
marehemu Mhe. Dkt. Elly Marko Macha wakati wa
mazishi ya marehemu yaliyofanyika katika kijiji cha Kirua Vunjo, mkoani
Kirimanjaro.
No comments:
Post a Comment