Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Wabunge kutoka Bunge la Umoja wa Ulaya Ofisini kwake Mjini Dodoma. |
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Wabunge kutoka Bunge la Umoja wa Ulaya Ofisini kwake Mjini Dodoma. |
Mazungumzo yakiendelea |
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa nne toka kulia) katika picha ya pamoja na Wabunge kutoka Bunge la Umoja wa Ulaya mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Mjini Dodoma. |
Ugeni wa Wabunge hao kutoka Bunge la Umoja wa Ulaya wakifuatilia kikao cha Bunge kabla ya kuonana na Mhe Spika. |
No comments:
Post a Comment