WABUNGE WAPEWA SEMINA KUHUSU WAJIBU WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KATIKA KUFANIKISHA MALENGO YA MAMENDELEO.
SPIKA WA BUNGE, MHE. JOB NDUGAI AMBAYE PIA NI RAIS WA CHAMA CHA MABUNGE
YA JUMUIYA YA MADOLA (CPA) TAWI LA TANZANIA AKIZUNGUMZA KATIKA WARSHA
YA WABUNGE KUHUSU WAJIBU WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KATIKA
KUFANIKISHA MALENGO YA MAENDELEO ILIYOFANYIKA MJINI DODOMA.
WAZIRI MKUU, MHE. KASSIM MAJALIWA AMBAYE NI MLEZI WA CHAMA CHA MABUNGE
YA JUMUIYA YA MADOLA (CPA) TAWI LA TANZANIA AKIFUNGUA WARSHA YA
WABUNGE KUHUSU WAJIBU WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KATIKA KUFANIKISHA
MALENGO YA MAENDELEO ILIYOFANYIKA MJINI DODOMA.
NAIBU SPIKA WA BUNGE AMBAYE PIA NI MAKAMU WA RAIS WA CHAMA CHA MABUNGE
YA JUMUIYA YA MADOLA (CPA) TAWI LA TANZANIA, MHE. DKT. TULIA ACKSON
AKITOA UFAFANUZI WA JAMBO KATIKA WARSHA HIYO, KUSHOTO NI MJUMBE WA
KAMATI KUU YA CPA TANZANIA, MHE. MARIA KANGOYE NA KULIA NI MWENYEKITI WA
CPA TANZANIA,MHE. DKT. RAPHAEL CHEGENI.
KATIBU WA SPIKA WA BUNGE, NDUGU SAIDI YAKUBU AKIWASILISHA MADA KUHUSU MUUNDO, SHUGHULI NA MAJUKUMU YA JUMUIYA YA MADOLA.
No comments:
Post a Comment