WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, June 30, 2017

KAMATI YA BUNGE YA PAMOJA YAKUTANA KUJADILI MISWADA KUHUSIANA NA ULINZI WA RASILIMALI ZA NCHI


Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Profesa Paramagamba Kabudi akitoa maelezo ya miswada inayohusu na usimamizi wa maliasili za Nchi katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Pamoja kiilichofanyika Mjini Dodoma leo Katika Ukumbi wa Msekwa

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akifuatilia mjadala katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Pamoja iliyokuwa ikijadili miswada miwili ya sheria  kuhusiana na usimamizi wa maliasili za Nchi.kikao hicho kilifanyika Mjini Dodoma leo Katika Ukumbi wa Msekwa.
Attachments area


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiendelea kufuatilia mjadala katika kikao hicho.
Attachments area
Mwenyekti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Mheshimiwa Doto Biteko akizungumza jambo wakati wa Kikao cha Kamati ya Bunge ya Pamoja ya kujadili miswada miwili ya sheria. Kikao hicho kimefanyika leo Mjini Dodoma katika Ukumbi wa Msekwa

Wabunge wakifuatilia mjadala 
 

No comments:

Post a Comment