Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai
(kushoto) akimsikiliza Kiongozi wa Msafara na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji, Mhe. Lucas
Jeremias (katikati) pale ugeni kutoka kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na
Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji ulipomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma
 |

Mjini Dodoma, kulia ni Mjumbe wa kamati hiyo Mhe. Beatriz Chaguala.
|
 |
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai
(kushoto) akisisitiza jambo mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na
Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji uliomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma, katikati ni Kiongozi wa Msafara na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu
ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji, Mhe. Lucas
Jeremias na kulia ni Mjumbe wa kamati hiyo Mhe. Beatriz Chagula.
|
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai
(kushoto) akizungumza mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na
Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji ulipomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma, wa pili kushoto ni Kiongozi wa Msafara na Mwenyekiti wa kamati ya
kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji, Mhe.
Lucas Jeremias
No comments:
Post a Comment