Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai leo amekutana na uongozi wa Chama cha Askari Wastaafu wa Vita ya Pili ya Dunia (TLC) ofisini kwake Mjini Dodoma |
Afisa Utawala wa Chama cha Wastaafu wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (TLC), Ndugu Charles Lubala akieleza lengo la ujumbe huo mbele ya Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai. |
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na wazee hao askari wastaafu. |
Mheshimiwa Spika, Job Ndugai akiagana na wageni hao |
No comments:
Post a Comment