MHE. SPIKA AKIWA NCHINI NIGERIA KUHUDHURIA MKUTANO WA MASPIKA
Mhe. Spika Job Ndugai akiwa katika mazungumzo na Maspika wa Nchi
za Uganda (kwanza kushoto) Mhe. Rebeka Kadaga ,Afrika Kusini (pili kushoto)Mhe.
Thandi Modise na Naibu Spika wa Cameroon kulia) Mhe. Monjowa Lifaka .Spika
Ndugai yuko nchini Nigeria kuhudhuria mkutano wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya
ya Madola Barani Afrika.

No comments:
Post a Comment