Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akipongezwa na Naibu Spika wa Cameroon, Mhe. Monjowa Lifaka baada ya
kushinda nafasi ya Mwenyekiti wa Maspika na
Viongozi wa Bunge katika Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika.
Uchaguzi huo umefanyika katika Mkutano wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani
Afrika uliomalizika leo Mjini Abuja.
|
No comments:
Post a Comment