Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa
Assad akiwasilisha mada kwa Kamati ya Bunge ya Bajeti katika semina
iliyohusu Ripoti za CAG kuhusu kaguzi za taarifa za fedha kwa mwaka
ulioshia tarehe 30 Juni, 2016. Semin hiyo imefanyika katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment