KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAENDELEA NA ZIARA YAKE KATIKA CHUO CHA KODI NA CHUO CHA UHASIBU
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Chuo cha Kodi wakati Kamati hiyo ilipofanya ziara katika chuo hicho Jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Bajeti wakiwa katika katika mkutano na Menejimenti ya Chuo cha Kodi wakati
Kamati hiyo ilipofanya ziara kutembelea Chuo hicho kwa lengo la kuangalia
utekelezaji wa majukumu ya chuo hicho.
Mkuu
wa Chuo cha Uhasibu (TIA) cha Jijini Dar es Salaam, Dkt. Joseph Kihanda
akisoma taarifa ya utekezaji wa majukumu ya Chuo hicho kwa Kamati ya Bunge ya
Bajeti wakati Kamati hiyo ilipofanya ziara chuoni hapo
No comments:
Post a Comment