Mhe. Spika Job Ndugai leo amekutana na Spika wa Bunge la Iran, Mhe. Dkt. Ali Larijani na kufanya nae mazungumzo yenye lengo la kuimarisha mahusiano ya kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Iran. |

Mhe. Spika Job Ndugai akisalimiana na mwenyeji wake |
No comments:
Post a Comment