WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, August 7, 2017

MHE. SPIKA AMTEMBELEA RAIS WA IRANI

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ametembelea Ikulu ya Irani na kufanya mazungumzo na Rais wa Iran, Mheshimiwa Hassan Rouhani ambapo Mheshimiwa Spika amempongeza kuteuliwa kwake kwa mara ya pili na kumuahidi ushirikiano wa karibu baina ya Bunge la Tanzania na lile la Iran. Mheshimiwa Spika alikuwa miongoni mwa wageni mashuhuri walioalikwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais Rouhani katika sherehe zilizofanyika kwenye Bunge la Iran Mjini Tehran.

Mheshimiwa Spika akiwa na mwenyeji wake

No comments:

Post a Comment