MHE.SPIKA AWASILI TEHRAN KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WA IRAN
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwasili
Tehran kushiriki hafla ya kuapishwa kwa Rais wa 12 wa Iran ambapo kwa mujibu wa
Katiba ya nchi hiyo, Rais huapishwa Bungeni na Spika.Mheshimiwa Spika yuko
Tehran kwa mwaliko wa Spika wa Bunge la nchi hiyo akiwawakilisha Maspika wa Afrika
Mhe. Spika Job Ndugai akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii
katika Bunge la Iran, Mhe Dkt, Abdolreza Aziz,wakati alipotembelea Bungeni hapo
kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais wa 12 wa Iran.
No comments:
Post a Comment