Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Hawa Ghasia
akielekezwa jinsi ya kutumia risiti ya Mwendokasi kwa ajili ya kuingia kituoni
kusubiri basi.
|
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa ndani ya Basi la
Mwendo Kasi wakielekea Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam, wajumbe hao
walikuwa wakikagua mfumo wa kukusanya fedha za nauli kwa mabasi hayo uliotengenezwa
na Kampuni ya Maxcom.
|
No comments:
Post a Comment