WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, October 5, 2017

MHE. SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA BUNGE LA NCHI ZA KIARABU

Mjumbe Maalum wa Rais wa Bunge la Nchi za Kiarabu, Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud akipokea zawadi ya kinyago kutoka kwa Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai walipokutana na kufanya mazungumzo leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Bunge la Nchi za Kiarabu, Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Mjumbe Maalum wa Rais wa Bunge  la Nchi za Kiarabu, '
Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud akijadiliana jambo na Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.



Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akipokea barua ya ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Bunge lma Nchi za Kiarabu, anayekabibidhi barua hiyo ni Mjumbe Maalum  wa Rais huyo, Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud wakati alipomtembelea leo Ofisin kwake Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment