WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, April 30, 2018

SPIKA NDUGAI ATEMBELEA KIWANDA CHA MAZIWA CHA ASAS MKOANI IRINGA

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akimsikiliza  Mkurugenzi wa Kiwanda cha maziwa cha ASAS Ndugu  Fuad Abri  wakati alipotembelea kiwanda hicho na kuona shughuli za uzalishaji maziwa pamoja na bidhaa nyingine zinazozalishwa kiwandani hapo.


Mkurugenzi wa Kiwanda cha maziwa cha ASAS Ndugu  Fuad Abri  akitoa maelezo  kwa Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai kuhusu bidhaa zinazotengenezwa kiwandani hapo alipotembelea kiwanda hicho.


Mkurugenzi wa Kiwanda cha maziwa cha ASAS Ndugu  Fuad Abri  akitoa maelezo  kwa Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai kuhusu bidhaa zinazotengenezwa kiwandani hapo alipotembelea kiwanda hicho

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akimsikiliza  Mkurugenzi wa Kiwanda cha maziwa cha ASAS Ndugu  Fuad Abri  wakati alipotembelea kiwanda hicho na kuona shughuli za uzalishaji maziwa pamoja na bidhaa nyingine zinazozalishwa kiwandani hapo.No comments:

Post a Comment