WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, May 8, 2018

SPIKA AKUTANA NA WANAKWAYA KUTOKA KONGWA

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na wanakwaya kutoka Kigango cha Iduo kilichopo kata ya Mlali, Wilaya ya Kogwa walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.


Wanakwaya wa Kigango cha Iduo Adriano Joseph (kushoto) na Nicholus Richard (kulia) wakimkabidhi Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) kiroba chenye Karanga kwa niaba ya wanakwanya wengine walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Wanakwaya wa Kigango cha Iduo kilichopo kata ya Mlali, Wilaya ya Kogwa wakimuombea Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Wanakwaya wa Kigango cha Iduo kilichopo kata ya Mlali, Wilaya ya Kogwa wakimuombea Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na wanakwaya kutoka Kigango cha Iduo kilichopo kata ya Mlali, Wilaya ya Kogwa mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiagana na wanakwaya kutoka Kigango cha Iduo kilichopo kata ya Mlali, Wilaya ya Kogwa mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment