WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, May 25, 2018

JAJI MKUU WA BUNGE ATEMBELEA BUNGE NA SPIKA NDUGAI KUUNGANA NAYE KUKETI JUKWAA LA WAGENI KUFUATILIA KIKAO CHA BUNGE

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) pamoja na Mgeni wake Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma (kushoto) wakifuatilia kikao cha Bunge. Jaji Mkuu alitembelea Bunge mapema leo na baada ya hapo alizungumza na Mhe Spika.
  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) pamoja na Mgeni wake Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma wakielekea Bungeni. Jaji Mkuu alitembelea Bunge mapema leo na baada ya hapo alizungumza na Mhe Spika.
  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) pamoja na Mgeni wake Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma (kushoto) wakiteta jambo wakati wakifuatilia kikao cha Bunge. Jaji Mkuu alitembelea Bunge mapema leo na baada ya hapo alizungumza na Mhe Spika.
  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) pamoja na Mgeni wake Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma (kushoto) wakiwasalimia Wabunge pale walipotambulishwa wakiwa katika Jukwaa la Wageni. Jaji Mkuu alitembelea Bunge mapema leo na baada ya hapo alizungumza na Mhe Spika.
  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akizungumza na Mgeni wake Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma (kushoto). Jaji Mkuu alitembelea Bunge mapema leo na baada ya hapo alizungumza na Mhe Spika.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) katika picha ya pamoja na Mgeni wake Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma (kushoto) mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment