WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, May 23, 2018

NAIBU SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA VIZIWI TANZANIA


Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt Tulia Ackson (kushoto) akisalimiana na Mlezi Chama cha Viziwi Tanzania, Ndg. Hashim Ismail (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.



Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha Viziwi Tanzania walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment