Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, akisaini kitabu
cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl.
Kasuku Samson Bilago. Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuletwa Bungeni kesho
Jumanne tarehe 29 Mei, 2018 kwa ajili ya Waheshimiwa Wabunge kutoa heshima za
mwisho kabla ya kusafirishwa kwenda kuzikwa kijijini kwake Kasuga, Wilayani
Kakonko, Mkoani Kigoma. Awali mapema leo, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson
aliahirisha Bunge kutokana na Msiba huo.
Waziri wa Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama akisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo
cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Samson Bilago.
Waziri wa
Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia
kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Samson Bilago.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Samson Bilago
Waziri wa Utumishi
na Utawala Bora Capt. George akisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha
aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Samson Bilago.
Mbunge wa
kuteuliwa na Rais Mhe. Salma Kikwete akisaini
kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu
Mwl. Kasuku Samson Bilago.
Mbunge wa
Tarime Mjini , Mhe. Esther Matiko akisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo
cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Samson Bilago.
Waheshimiwa Wabunge wakijipanga kusaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Samson Bilago. Aliyeketi kusaini ni Mbunge wa Mufindi Kaskazini Mhe. Mahmoud Mgimwa
Waheshimiwa
Wabunge wakijipanga kusaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa
Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Samson Bilago.
No comments:
Post a Comment