Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Bilago. Mara baada ya tukio hilo mwili huo ulisafirishwa kwenda Wilayani Kakonko, Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiweka shada la maua wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Bilago. Mara baada ya tukio hilo mwili huo ulisafirishwa kwenda Wilayani Kakonko, Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia) akizungumza na Kiongozi wa
Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe (wa pili kushoto), Mbunge wa
Vunjo, Mhe. James Mbatia (kushoto) na Mbunge wa Bunda Mjini, Mhe. Esther Bulaya
(kulia) wakati wakusafirisha mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Bilago
katika Uwanja wa Ndege wa Jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment