Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi kilicholenga kupokea Taarifa ya majumuisho yaliyofanyika kati ya Kamati
ya Bajeti na Serikali, kilichofanyika leo tarehe 13 Juni, 2018 katika Ukumbi wa
Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kulia kwa Spika ni Naibu Spika wa Bunge,
Mhe. Dkt. Tulia Ackson na kushoto kwa Spika ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu
ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Mhe. Hawa Ghasia
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha Kamati ya
uongozi kilicholenga kupokea Taarifa ya majumuisho yaliyofanyika kati ya Kamati
ya Bajeti na Serikali, kilichofanyika leo tarehe 13 Juni, 2018 katika Ukumbi wa
Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kulia kwa Spika ni Naibu Spika wa Bunge,
Mhe. Dkt. Tulia Ackson na kushoto kwa Spika ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu
ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Mhe. Hawa Ghasia
Mwenyekiti
wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Mhe.
Hawa Ghasia (wa pili kulia) akizungumza na Mawaziri, Wenyeviti wa Kamati za Bunge na Watendaji Wakuu Serikalini (hawapo pichani) wakati wa
kikao cha Kamati ya Uongozi kilicholenga kupokea Taarifa ya majumuisho
yaliyofanyika kati ya kamati ya Bajeti na Serikali. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe
13 Juni, 2018 katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Katikati
ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia
Ackson (wa pili kushoto), Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mpango
(kushoto) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, kazi, Vijana,
Ajira na Watu Wenye Ulemavu
No comments:
Post a Comment