Wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Mount Kibo ya Jijini Dar es salaam
wakiongozwa na Walimu wao wakiwa katika Majukwaa ya Wageni Bungeni kufuatilia Shughuli
za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania namna linavyoendeshwa
Wanafunzi
kutoka Shule ya Msingi Angelico Lipani ya Jijini Arusha wakiongozwa na Walimu
wao wakiwa katika Majukwaa ya Wageni Bungeni kufuatilia Shughuli za Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania namna linavyoendeshwa.
Wanafunzi
kutoka Shule ya Msingi Martin Luther ya Jijini Dodoma wakiongozwa na Walimu wao
wakiwa katika Majukwaa ya Wageni Bungeni kufuatilia Shughuli za Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania namna linavyoendeshwa.
No comments:
Post a Comment