Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Waziri wa Madini,
Mhe. Angellah Kairuki (kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof. Simon
Msanjila (kulia) wakati wakielekea kwenye Maonyesho ya Madini yanayoendelea leo
katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Maonyesho hayo yameanza jana
Tarehe 30, Mei, 2018 na yanategemea kumaliza Tarehe 1 Juni, 2018.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu Mtendaji wa
Mpango wa Uhamasishaji Uwazi katika Mapato ya Madini, Gesi Asilia na Mafuta
(TEITI), Ndg. Mariam Mgaya (wa pili kushoto) wakati wa Maonyesho ya Madini yanayoendelea
leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Watatu kulia ni Waziri wa Madini,
Mhe. Angellah Kairuki na kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof. Simon
Msanjila. Maonyesho hayo yameanza jana Tarehe 30, Mei, 2018 nakutegemea
kumalizika Tarehe 1 Juni, 2018
Mwalimu
wa Uchanjuaji Madini kutoka Chuo cha Madini Dodoma, Dkt. Abdulrahaman Mwanga
(kushoto) akimuonyesha Mbale ya Shaba Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(katikati) wakati wa Maonyesho ya Madini yanayoendelea leo katika Viwanja vya
Bunge Jijini Dodoma. Watatu kulia ni Waziri wa Madini, Mhe. Angellah Kairuki na
kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof. Simon Msanjila. Maonyesho hayo
yameanza jana Tarehe 30, Mei, 2018 nakutegemea kumalizika Tarehe 1 Juni, 2018
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati), Waziri wa Madini,
Mhe. Angellah Kairuki (Kushoto) pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof. Simon
Msanjila (kulia) wakimsikiliza Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya The Tanzanite Experience, Ndg. Hasnain Sajan (kulia) alipokuwa akiwapa maelezo kuhusiana na bidhaa mbalimbali zitokanazo na madini ya Tanzanite katika Maonyesho ya Madini yanayoendelea katika Viwanja
vya Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza
wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya Madini leo katika Viwanja vya Bunge Jijini
Dodoma. Maonyesho hayo yameanza jana Tarehe 30, Mei, 2018 nakutegemea
kumalizika Tarehe 1 Juni, 2018
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza
wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya Madini leo katika Viwanja vya Bunge Jijini
Dodoma. Maonyesho hayo yameanza jana Tarehe 30, Mei, 2018 nakutegemea
kumalizika Tarehe 1 Juni, 2018
No comments:
Post a Comment