Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa
katika picha ya pamoja na Wajumbe kutoka Bodi ya wadhamini ya Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wajumbe hao waliongozwa
na Mwenyekiti wa Bodi, Balozi Ami Mpungwe (wa tatu kushoto)
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe kutoka Bodi ya wadhamini ya Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wajumbe hao waliongozwa
na Mwenyekiti wa Bodi, Balozi Ami Mpungwe (wa tatu kushoto)
No comments:
Post a Comment