Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mbunge kutoka Bunge
la London House of Commons Mhe. Stephen Timms (katikati) na Mke wake,
Ndg. Hui Leng (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mbunge
kutoka Bunge la London House of Commons Mhe. Stephen Timms (wa pili
kushoto)alieambatana na Mke wake Ndg. Hui Leng (wa pili kulia) wageni wengine
ni Maafisa kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Tearfund walipomtembela leo Ofisini
kwake Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment