Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson
akizungumza na Watendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Ofisini kwake
Jijini Dodoma, kushoto kwa Naibu Spika ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo
Ndg. Theobald Sabi. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Mbunge wa Kilolo, Mhe.
Venance Mwamoto.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson
(katikati) katika picha ya pamoja na Watendaji wa Benki ya Taifa ya
Biashara (NBC) mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Jijini Dodoma,
watatu toka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Ndg.
Theobald Sabi na wapili kulia ni Mbunge wa Kilolo Mhe. Venance Mwamoto.
No comments:
Post a Comment