Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya
Umma (P.I.C) wakiendelea na Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Jijini
Dodoma.
|
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji
ya Umma (P.I.C) Mheshimiwa Dkt. Raphael Chegeni akifafanua jambo mbele ya
Wajumbe wa Kamati hiyo iliyokutana leo Jijini Dodoma.
|
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya
Umma (P.I.C) Mheshimiwa Esther Mmasi akichangia jambo katika Kikao
cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Jijini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment