|
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na
Usalama, Mhe. Mussa Azzan Zungu akifafanua jambo katika kikao cha Kamati hiyo
ambapo leo wamekutana na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi na kupokea Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu hali ya ulinzi na
usalama wa raia na mali zao kwa kipindi cha Agosti 2018 na Taarifa ya utekelezaji
wa Majukumu ya Jeshi la Zimamoto.
|
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola akisikiliza
hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama baada ya
Wizara yake kukutana na Kamati hiyo leo Jijini Dodoma.
|
Wajumbe wa Kamati ya
Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakiwa katika kikao cha Kamati ambapo
leo wamekutana na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi na kupokea Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu hali ya ulinzi na usalama
wa raia na mali zao kwa kipindi cha Agosti 2018 na Taarifa ya utekelezaji wa
Majukumu ya Jeshi la Zimamoto
|
|
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola akisoma Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu hali ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao kwa kipindi cha Agosti 2018 mbele ya Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, pembeni ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu. |
No comments:
Post a Comment