WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, September 1, 2018

KAMATI YA LAAC YATEMBELEA MIRADI YA BARABARA MANISPAA YA MOROGORO

Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Godwin Mpinzile akitoa  maelezo kuhusiana na mradi wa Barabara ya Maelewano iliyoko katika Manispaa ya Morogoro mbele ya Kamati ya Bunge ya Serikali za Mitaa (LAAC).kamati hiyo iko ziara Mkoani Morogoro kwa ajili ya kukagua miradi ya maji na barabara.


Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Godwin Mpinzile akitoa  maelezo kuhusiana na mradi wa Barabara ya Maelewano katika Manispaa ya Morogoro mbele ya Kamati ya Bunge ya Serial za Mitaa (LAAC).kamati hiyo iko ziara Mkoani Morogoro kwa ajili ya kukagua miradi ya maji na barabara.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Mhe. Vedasto Ngombale akizungumza na watendaji wa Manispaa ya Morogoro kabla ya Kamati hiyo kutembelea miradi ya Barabara katika Manispaa hiyo. kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Abdallah Chikota.

No comments:

Post a Comment