WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, September 1, 2018

KAMATI YA BAJETI YATEMBELEA OFISI YA MKAGUZI MKUU MKOA WA SINGIDA

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakifuatilia kwa karibu Uwasilishwaji wa Taarifa ya Ukaguzi katika Mkoa wa Singida walipotembelea Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali Mkoa wa Singida.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Mheshimiwa George Simbachawene akifuatilia Uwasilishwaji wa Taarifa kutoka kwa Naibu Mkaguzi Mkuu wa Serikali Ndg. Wendy Massoy katika Kikao kilichofanyika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida hii leo, Kamati hiyo ipo katika Ziara Mkoani humo.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa George Simbachawene wakiwa katika kikao na Watendaji Wakuu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida hii leo Kamati hiyo ilipofanya ziara yake Mkoani humo.

No comments:

Post a Comment