SPIKA WA BUNGE, MHE. JOB NDUGAI
AKIONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KILICHOKUTANA LEO KATIKA OFISI ZA BUNGE
JIJINI DODOMA. KIKAO HICHO NI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA KUANZA KWA MKUTANO WA KUMI NA MBILI
WA BUNGE SEPTEMBA 4, 2018.
SPIKA WA BUNGE, MHE. JOB NDUGAI AKIONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KILICHOKUTANA LEO KATIKA OFISI ZA BUNGE JIJINI DODOMA. KIKAO HICHO NI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA KUANZA KWA MKUTANO WA KUMI NA MBILI WA BUNGE SEPTEMBA 4, 2018.
KATIBU WA BUNGE, NDUGU STEPHEN
KAGAIGAI AKIZUNGUMZA KATIKA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KILICHOKUTANA LEO
KATIKA OFISI ZA BUNGE JIJINI DODOMA. KIKAO HICHO NI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA KUANZA KWA
MKUTANO WA KUMI NA MBILI WA BUNGE SEPTEMBA 4, 2018.
No comments:
Post a Comment