 |
Naibu
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Dkt. Yamungu Kayandabila akizunugumza katika Mafunzo
yaliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa Wabunge wote yaliyofanyika hii leo katika
Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
|
 |
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Mheshimiwa George Simbachawene akifuatilia
kwa makini maelezo ya Mtoa Mada katika Mafunzo yaliyotolewa na Benki Kuu ya
Tanzania katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
|
Sehemu
ya Wabunge wakifuatilia Mafunzo yaliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa
Wabunge wote yaliyofanyika hii leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment